sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
Jengo la Elimu Jijini DodomaJengo la Elimu lililojengwa Jijini Dodoma na Kampuni ya Ujenzi ya SUMAJKT (SUMAJKT Construction Company Limited). SUMAJKT Chang'ombe FurnitureUtengenezaji wa Samani zenye uborana za kisasa za maofisini na majumbani kwa kutumia mbao ngumu. SUMAJKT Bottling PlantKiwanda cha maji safi na salama ya kunywa kilichopo Mgulani JKT Jijini Dar es Salaamu. SUMAJKT Leather ProductsKiwanda cha viatu vya aina zote na bidhaa zingine kwa kutumia ngozi halisi na laini, kilichopo Kawe - Mlalakuwa Jijini DSM SUMAJKT Catering and Recreation Kwa Huduma ya Kumbi za sherehe na mikutano pamoja na Huduma ya Chakula inayopatikana SUMAJKT Mwenge Jijini DSM. SUMAJKT Guard Limited Kwa Huduma ya Ulinzi binafsi na VIP kwa kutumia Walinzi na Mitambo ya kisasa inayopatikana SUMAJKT Guard Ltd Mwenge Jijini DSM. SUMAJKT Agri-Machinery Uunganishaji wa Matrekta na Vipuri vyake Imara na vyenye Ubora zaidi yanayopatikana SUMAJKT Mwenge Jijini Dar es Salaam
1 2 3 4 5 6 7

WAFUATAO NI VIONGOZI WA JUU WA SHIRIKA LA SUMAJKT

CEO
Chief Exacutive Officer (CEO)
Brig. Jenerali Charles Mbuge
ED
Executive Director
Col RN Mabele
 

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255713816013
+255739816013
+255754816013
+255629695363
+255656-062665
Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

jQuery Vertical News Slider
 • Mradi wa Ujenzi
 • Mradi wa Sumaguard Ltd
 • Mradi wa Matrekta
 • Mradi wa Kokoto
 • SUMAPONICS
 • Lether Product Industry
 • Kiwanda cha Ushonaji
 • Recreation and Catering
 • Mradi wa Ufugaji
 • Mradi wa Kilimo
 • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Matenki ya kufugia Samaki katika Mradi wa SUMAPONIC.

Mradi wa SUMAPONIC unapatikana Jijini Dar es Salaam-Mbweni JKT...

Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi .

Mradi huu unapatikana MMJKT(Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa) Jijini Dar es Salaam...

kiwanda cha Nguo kinachomilikiwa na SUMAJKT.

Kiwanda hiki kinapatikana Ruvu JKT Pwani...

Huduma ya Chakula inayopatikana katika mradi wa Recreation and Catering...

Mradi huu unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....

sumajk

Jipatie Majarida na Vipeperushi vya SUMAJKT

Bofya Hapa kupata Jarida la SUMAJKT .. W3Schools
SUMAJKT kwa Ujumla .. W3Schools
Kampuni ya Ujenzi(NSCD).. W3Schools
SUMAJKT Agro - machinery (Matrekta).. W3Schools
SUMAJKT leather product industry .. W3Schools
SUMAJKT Water Bottling Plant.. W3Schools
     
sumajk