sumajk

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI - JESHI LA KUJENGA TAIFA
(SUMAJKT)


KARIBU SANA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT) KUPATA HUDUMA NA BIDHAA BORA

sumajk
Karibu SUMAJKT
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu +255-22-2780588
/ +255-22-2780712
+255713-411223
+255656-062665

Fax:+255-2-270048
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com

 

UJENZI

Sumajkt inatekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi kupitia kampuni yake ya National service constraction (NSCD) ambayo imesajiliwa na inatekeleza aina tatu za ujenzi.Nazo ni:-
(a) Ujenzi wa majengo-daraja 1
(b)Ujenzi wa barabara…..daraja iv
(c)kazi za usambazi umeme majumbani daraja iv.
Karibuni wateja wote kwa mahitaji ya ujenzi wa nyumba,barabara na mabwawa yenye ubora wa hali ya juu kwenye ofisi zetu zilizoko kwenye kanda zifuatazo:
 • Kanda ya mashariki – Dar es salaam
 • Kanda ya kusini - Mbeya
 • Kanda ya kati - Dodoma
 • Kanda ya ziwa - Mwanza
 • Kanda ya kaskazini - Arusha
Trolltunga Norway
Ujenzi wa barabara…..daraja iv
Northern Lights
Msasani complex. nyumba daraja I
Forest
Zabibu iliyotayari kuvunwa shambani
 
       
 
jQuery Vertical News Slider
 • Mradi wa Ujenzi
 • Mradi wa Sumaguard Ltd
 • Mradi wa Matrekta
 • Mradi wa Kokoto
 • Mradi wa Ufugaji
 • Mradi wa Kilimo
 • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....