sumajk

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI - JESHI LA KUJENGA TAIFA
(SUMAJKT)


KARIBU SANA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT) KUPATA HUDUMA NA BIDHAA BORA

sumajk
Karibu SUMAJKT
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu +255-22-2780588
/ +255-22-2780712
+255713-411223
+255656-062665

Fax:+255-2-270048
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com

KIWANDA CHA SAMANI

Ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii,Suma jkt tunatengeneza samani za aina mbalimbali kwa wateja wetu kama . Samani hizo ni kamavile Viti, Sofa, Vitanda, Meza, Kabati, Madirisha na Milango ya aina tofautitofauti kulingana na mahitaji ya mteja husika. Vile vile kiwanda hutumia zaidi malighafi ya mbao aina ya Mkongo na Mninga mkavu katika kutengeneza samani za wateja, mbao hizi zimethibitika kuwa bora na za kudumu muda mrefu ukilinganisha na aina nyingine ya mbao. Aidha kiwanda kinazalisha bidhaa za mbao laini (softwood) kwa kutegemeana na mahitaji ya mteja.

Trolltunga Norway
Samani kwa ajili ya sebule
Forest
Kitanda kizuri kilichotengenezwa kwa mbao ya mninga
Northern Lights
Kabati ya kisasa
Trolltunga Norway
Samani za ofisini


Kwa mawasiliano karibu kwenye ofisi zetu zilizoko Chang'ombe.
jQuery Vertical News Slider
  • Mradi wa Ujenzi
  • Mradi wa Sumaguard Ltd
  • Mradi wa Matrekta
  • Mradi wa Kokoto
  • Mradi wa Ufugaji
  • Mradi wa Kilimo
  • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....