sumajk

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI - JESHI LA KUJENGA TAIFA
(SUMAJKT)


KARIBU SANA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT) KUPATA HUDUMA NA BIDHAA BORA

sumajk
 
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu +255-22-2780588
/ +255-22-2780712
+255713-411223
+255656-062665

Fax:+255-2-270048
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
Untitled Document

BANDA LA JKT KATIKA MAONESHO YA SHEREHE YA WAKULIMA TANZANIA (NANENANE) YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI 2016

Picha zinazoonyesha Matukio mbalimbali, wakiwemo viongozi mbalimbali waliotembelea Banda la JKT katika maonyesho ya nanenane yaliyofanyika mkoani Lindi. .

Trolltunga Norway
Asali asilia inayozalishwa na Mradi wa SUMAJKT- Kanembwa .

Forest

Banda la Maonesho la Bidhaa mbalimali za SUMAJKT

.

Zao la Muhogo katika maonyesho ya kilimo ya nanenane kwenye Banda la JKT .

Trolltunga Norway

Miche Bora ya Mbegu ya kitunguu inayozalishwa na SUMA JKT.

Trolltunga Norway
Bidhaa za kilimo cha mbogamboga katika Banda la JKT.

Trolltunga Norway
Mkuu aa Mkoa wa Lindi Mh. Godfrey Zambi akiangalia  Bustani iliyondaliwa na JKT katika Maonesho ya Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Lindi  Aug 2016 .

Trolltunga Norway

Jokofu la Asili Linalotumika Kuhifadhia mbogamboga na matunda vikisubiri kuuzwa .

Trolltunga Norway

Prof. Sospeter Mhongo Akikaribishwa na Kanali Wanyancha kwenye eneo la Bustani za JKT kwenye Maonesho ya Nanenane.

Trolltunga Norway
Prof. Sospeter Mhongo akipata maelezo ya namna ya kutumia Matrekta yanayouzwa na Shirika la SUMAJKT katika maonesho ya nanenane yaliyofanyika Mkoani Lindi .

Trolltunga Norway
Prof. Sospeter Mhongo Waziri Wa Nishati Na Madini Na Mama Salma Kikwete Wakionesha Zawadi Kutoka Bustani ya SUMAJKT Kwenye Maonesho ya Sherehe ya Wakulima Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Lindi 2016 .

Trolltunga Norway

Kilimo Hai cha Ufugaji wa Samaki na Ulimaji Wa mbogamboga Kisichotumia mbolea za Kiwandani wala Madawa.

Trolltunga Norway

Bidhaa za Sabuni mbalimbali zinazotengenezwa na Vijana wa JKT kupitia Shirika la SUMAJKT.

Trolltunga Norway

Ujumbe Wa Wageni Mbalimbali Ulioambatana na Prof. Sospeter Mhongo katika Kutembelea eneo la JKT Katika Maeneo ya Maonesho Mkaoani Lindi.

 

jQuery Vertical News Slider
  • Mradi wa Ujenzi
  • Mradi wa Sumaguard Ltd
  • Mradi wa Matrekta
  • Mradi wa Kokoto
  • Mradi wa Ufugaji
  • Mradi wa Kilimo
  • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....