sumajk

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI - JESHI LA KUJENGA TAIFA
(SUMAJKT)


KARIBU SANA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT) KUPATA HUDUMA NA BIDHAA BORA

sumajk
Karibu SUMAJKT
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu +255-22-2780588
/ +255-22-2780712
+255713-411223
+255656-062665

Fax:+255-2-270048
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com

KILIMO

Shirika lina rasilimali ardhi yenye rutuba na maji katika maeneo yake ya uzalishaji mali na hivyo kuliwezesha shirika kuwa na mikakati madhubuti ya kutekeleza sera ya serikali ya Kilimo kwanza na Mapinduzi ya kijani.

Katika Nyanja hii, shirika linaendesha kilimo cha kisasa cha kutumia zana bora za kilimo na mbegu bora ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, uharibifu wa mazingira na kupata mazao bora yenye kukidhi viwango vya ubora unaostahiki.

Trolltunga Norway
Zabibu zinazilimwa na SUMAJKT
Forest
Asali halisi inayozalishwa na SUMAJKT
Northern Lights
Alizeti ikiwa shambani
Mountains
Maembe yakiwa tayari kwa kuchumwa shambani
jQuery Vertical News Slider
  • Mradi wa Ujenzi
  • Mradi wa Sumaguard Ltd
  • Mradi wa Matrekta
  • Mradi wa Kokoto
  • Mradi wa Ufugaji
  • Mradi wa Kilimo
  • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....