sumajk WELCOME SUMAJKT, HOME OF QUALITY PRODUCTS AND SERVICES

sumajkt
Karibu SUMAJKT
sumajk

Habari na Matukio mbalimbali yaliyojiri hivi karibuni SUMAJKT..

Mawasiliano

Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694,Dar es Salaam
Simu + 255 - 22 - 2780934
+255654226613
+255629695363
+255656-062665

Fax:+2552780932
Email:info@sumajkt.go.tz
www.facebook.com
www.twitter.com
SUMAJKT HQ MAP

SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA (SUMAJKT)

Ni Shirika la kiuchumi la JKT ambalo lilianzishwa kuzalisha mali kibiashara. SUMA JKT ilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya mashirika ya umma ya mwaka 1974 (RE 2002) baada ya amri ya Rais ya mwaka 1982. Nia ya kuanzishwa SUMA JKT ni kusaidia miradi ambayo ina uwezo mkubwa wa uzalishaji ili iweze kuzalisha zaidi na kwa faida na hivyo kuisaidia Serikali katika kupunguza matumizi ya kuendesha shughuli za JKT.
Shirika hili lina jukumu la kuzalisha bidhaa na kutoa huduma bora kwa jamii hususani katika shughuli mbalimbali ikiwemo Ujenzi na uhandisi, Viwanda, Kilimo na Biashara, Mradi wa Matrekta na Huduma za Ulinzi kupitia SUMAJKT Guard Ltd,  hii yote ni kuhakikisha shirika linajikita zaidi katika miradi inayoigusa jamii moja kwa moja na yenye kutoa matokea chanja hasa katika kutokomeza umaskini na kutoa fursa kwa wananchi kujifunza njia za kisasa za uzalishaji mali.

DIRA YA SHIRIKA
“Kuwa shirika linalotoa huduma na bidhaa bora kwa wateja wake wote wa ndani na nje ya nchi”


DHIMA YA SHIRIKA
“Kutoa huduma na kuzalisha bidhaa bora zenye ushindani katika sekta za Viwanda, Kilimo, Ufugaji, Ujenzi, Biashara na Utalii, Matrekta na Ulinzi wa watu na mali zao na kutoa mchango katika maendeleo ya Taifa letu.”

MIRADI YA SHIRIKA
Katika kutekeleza majukumu yake, shirika limegawa miradi yake katika makundi makuu matano (5), nayo ni;

 • Mradi wa Ujenzi
 • Miradi ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji
 • Miradi ya Viwanda
 • Mradi wa Zana za Kilimo (Matrekta na Vipuli vyake)
 • SUMAJKT Guard Limited

SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA

 • Ujenzi na uhandisi.
 • Viwanda
 • Kilimo,
 • Biashara
 • Uvuvi
 • Ulinzi


jQuery Vertical News Slider
 • Mradi wa Ujenzi
 • Mradi wa Sumaguard Ltd
 • Mradi wa Matrekta
 • Mradi wa Kokoto
 • SUMAPONICS
 • Lether Product Industry
 • Kiwanda cha Ushonaji
 • Recreation and Catering
 • Mradi wa Ufugaji
 • Mradi wa Kilimo
 • Mradi wa Samani

Nyumba iliyojengwa na NSCD

Mradi wa Ujenzi unahusika na kujenga barabara,nyumba na madaraja makubwa na yenye viwango vya hali ya juu..

Kikosi cha Ulinzi cha Sumaguard Limited.

Mradi wa Sumagurd limited Unapatikana Mwenge jijini Dar es Salaam. Mradi huu unatoa huduma zote za ulinzi,kwa njia ya kisasa zaidi, ukiwemo mfumo wa kielektroniki...

Moja ya Trekta zinzouzwa na SUMAJKT katika mradi wa Matrekta.

Mradi wa Matrekta unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam....

Kokoto imara zinazouzwa na mradi wa Kokoto.

Mradi wa kokoto unapatikana Pongwe Msata na Kunduchi Jijini Dar es Salaam...

Matenki ya kufugia Samaki katika Mradi wa SUMAPONIC.

Mradi wa SUMAPONIC unapatikana Jijini Dar es Salaam-Mbweni JKT...

Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi .

Mradi huu unapatikana MMJKT(Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa) Jijini Dar es Salaam...

kiwanda cha Nguo kinachomilikiwa na SUMAJKT.

Kiwanda hiki kinapatikana Ruvu JKT Pwani...

Huduma ya Chakula inayopatikana katika mradi wa Recreation and Catering...

Mradi huu unapatikana Mwenge Jijini Dar es Salaam...

Ng'ombe Bora Wakiwa Malishoni katika Mradi wa Ufugaji

Mradi huu unapatikanika karibu Vikosi mbalimbali vya JKT, kama vile Ruvu JKT, Mafinga, JKT Oljoro....

Kilimo Bora cha Zabibu.

Mradi wa kilimo unapatikana katika vikosi mbalimabali vya JKT ...

Kabati Imara iliyotengenezwa na Mradi wa Samani wa SUMAJKT.

Mradi huu unapatikana Chang'ombe Jijini Dar es Salaam.....

sumajk

Jipatie Majarida na Vipeperushi vya SUMAJKT

Bofya Hapa kupata Jarida la SUMAJKT .. W3Schools
SUMAJKT kwa Ujumla .. W3Schools
Kampuni ya Ujenzi(NSCD).. W3Schools
SUMAJKT Agro - machinery (Matrekta).. W3Schools
SUMAJKT leather product industry .. W3Schools
SUMAJKT Water Bottling Plant.. W3Schools
     
sumajk